Katika sehemu hii utaweza kujua namna ya kusanidi Onion Service yako ili kuwezesha client authorization, Onion-Location na videkezo vya Onion Service yako kuwa salama zaidi.
Onion-Location
Jifunze jinsi ya kupangilia Onion-Location katika tovuti yako ya onion.
Client Authorization
Jifunze jinsi ya kuweka client authorization kwa ajili ya Onion Services.
Usalama wa uendeshaji
Jifunze zaidi juu ya videkezo vya kulinda Onion Services zako.
HTTPS kwa Onion Service yako
Jifunze kwanini baadhi ya onions zina vyeti vya TLS.
Muongozo wa DoS za Onion service
Vidokezo vinavyo kusaidia kujilinda nyakati za hatari.
Anwani batili
Kwa urahisi zaidi utatambua anwani za onion.