Kamilisha orodha hii kabla ya kuendesha mafunzo ya Tor.
Andaa
Itifaki ya Usalama
Kuhusu ukumbi
- Ukumbi una meza na viti vya kutosha kila mtu 
- Ukumbi una muunganisho wa mtandao na ninajua nenosiri la wifi 
- Kuna projekta au TV inayopatikana na inafanya kazi na kompyuta yangu 
Wasikilizaji & Mawasiliano
- Nilishiriki anwani ya mahali, tarehe na wakati kwa washirika wote 
- Niliwauliza washirika wote walete vifaa vinavyohitajika kwenye mafunzo 
- Nimethibitisha washiriki wa mafunzo 
Wakati wa mafunzo
Kabla ya kuanzisha mafunzo hakikisha kuwa:
- Fanya makubaliano kuhusu kupiga na kutopiga picha 
- Wasilisha ajenda 
- Jitambulishe na uulize watu wajitambulishe 
- "Maswali yote yanakaribishwa" 
Baada ya Mafunzo
- Kusanya maoni ya washiriki 
- Wacha barua pepe kwa mawassiliano zaidi na usaidizi 
- Fanya utathmini kuhusu mafunzo 
- Ripoti kwa jamii na timu ya UX